alt text

Compound Marrow Powder


Viungo:


Compound Marrow Powder Marrow Powder (Tibek Yak Brain, Spinal Cord, Marrow), Lecithin, Protein Powder, Buckwheat powder, Vitamins, Iron, Zinc, Magnesium, Calcium

Kazi Na Faida Zake



Yafaa Kutumika Kwa:


Maelezo Muhimu:


Tibet Yak:
Yaks wanaishi kwenye mazingira ya asili ya nyanda za juu za Qinghai-Tibet - eneo asilia ambalo halina uchafuzi lililoko mita 4500 juu usawa wa bahari. Eneo hili asilia lenye upungufu wa oksijeni humjenga kiumbe mwenye mwili wenye nguvu na mwenye moyo na mapafu vyenye nguvu. Uwingi wa chembechembe nyekundu za damu na hemoglobin ni zaidi ya ule wa aina nyingine za ng'ombe. Yak ana uwezo mkubwa wa kuchukua oksijeni ili kuzuia uchovu na mazingira hayo magumu.

Yak marrow:
Marrow (uboho) ni sehemu yenye virutubishi kwa wingi katika yak. Mifupa na uboho mpya wa yak (ubongo, uboho kutoka kwenye pingili za mgongo na uboho ndani ya mifupa) una virtubishi vya aina nyingi vinavyoweza kuimarisha ubongo, mifupa na mfumo wa damu wa binadamu. Sehemu zenye mafuta huondolewa na sehemu zenye faida hubakia na kutengeneza Compound Marrow Powder. Uboho wa aina tatu katika bidhaa moja hutoa virutubishi vya aina nyingi kwenye mwili wa binadamu zaidi ya vile vinavyotolewa na uboho wa aina moja.

Faida Kwenye Ubongo:
Brain phospholipids, lecithin, neural phospholipids, neural growth factor, polypeptides vilivyomo ndani ya Compound Marrow Powder ni vyakula vya ubongo vinavyolisha peripheral na central nervous system...... .

Faida Kwenye Mifupa Na Maungio Ya Mifupa:
Compound Marrow Powder ya Green World hutoa mchanganyiko wenye uwiano wa virutubishi visivyo vya kemikali vya calcium, phosphorus, collagen na chondroitin kwa ajili ya mifupa mikubwa na maungio ya mifupa.

Faida Kwenye Utengenezaji Wa Damu:
Uboho ni kitu laini kinacopatikana ndani ya mifupa na ndimo chembechembe nyekundu za damu zinamotengenezwa. Kama chanzo cha chakula, uboho unatoa virutubishi vyote muhimu ili binadamu aweze kutengeneza seli za damu.

Compound Marrow





<<<<< MWANZO